kutazama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
  2. Vincenzo Jr

    Movie & series za kutazama wiki hii

    Bilionea ambaye ni mgonjwa mahututi anafanyiwa upasuaji mkali wa kuhamishia fahamu zake kwenye mwili wa kijana mwenye afya njema. Walakini, hivi karibuni anagundua kuwa mwili wake mpya unakuja na historia yake Mwandishi Eddie Morra ana uhakika kwamba ana mustakabali mbaya baada ya kupoteza...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  4. Best Daddy

    Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

    Happy Holiday! Natumaini mnaendelea vizuri wana-Jamiiforums. Msukumo wa kuandika andiko hili umetokana kuangalia mechi tatu, pale ambapo Yanga amekutana na Mashujaa, Tanzania Prisons na hii mechi yake ya mwisho dhidi ya Dodoma Jiji. Nimekua shabiki kindaki ndaki wa mpira wa Tanzania...
  5. Cecil J

    Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

    Habari wanajukwaa! Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu. Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara ya pili (Re-Scored), hivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa? Hii screenshoot ya...
  6. SteveMollel

    Visa hivi ni vya kuvipa muda

    Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida. Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani ili wawe pamoja kwasababu mwanamke huyo hatokuwepo weekend. Haipiti muda Clint anampokea mgeni...
  7. Bob Manson

    Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

    Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao. Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na...
  8. J

    Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  9. Crocodiletooth

    Kenya imeanza kutazama mbali zaidi, baada ya kuona huenda ikakaribiwa kiuchumi na kupitwa.

    Yatupasa kuamka na kuwa makini na kuona jinsi gani kasi yetu ya kuwa taifa lenye uchumi mkubwa Afrika ya mashariki na kati linatimia, by hooks and crooks! Katika kushindana na nchi ambayo kila wakati ipo macho!
  10. NGOSWE2

    Wakulima wa Mpunga Mbalali, Mbeya Wadai Serikali Kutazama Upya Kodi za Kilimo

    Wakulima wa mbunge katika Wilaya ya Mbalali, Mkoa wa Mbeya, wa nyimbo na changamoto ya kodi na kodi ambazo zinatishia uhai wa shughuli zao za kilimo. Kwa mujibu wa malalamiko yao, mkulima huyu hutozwa malipo ya shilingi 50,000 kwa heka moja kwa ajili ya mifereji ya maji. Hata hivyo, hakuna...
  11. SteveMollel

    Part Two: Movies za kutazama na mpenzi wako. Usitazame na watoto

    Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo. 1. SECRETARY Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida. Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya...
  12. Greatest Of All Time

    Link ya kutazama Yanga Vs Mamelodi Sundowns hii hapa, unaweza pia kutazama mechi nyingine za ulaya

    Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns. Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na mwenzako! https://www.livesports088.com/
  13. Ncha Kali

    Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au hata mechi pendwa za soka..... ukibadili channeli watoto hao wanakukimbia sebuleni unabaki mwenyewe...
  14. LIKUD

    Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

    Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa. Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu...
  15. Eli Cohen

    Nitajie actors watano ambao lazima ushawishike kutazama filamu aliyoigiza

    1: Matthew McConaughey 2: Denzel Washington: 3: Christian Bale: 4: Jim Carrey: 5: Tom Cruise:
  16. The Boss

    Kutazama EPL Kwa ZUKU fiber internet

    Wataalam kama mtu ana zuku fiber unlimited ndani na anataka tazama Mpira EPL au TV zozote za nje ...inatakiwa afanyaje? Kuna mtu kaniambia lazima nitafute android TV box kwanza?ni kweli? Njia zipi za kupata channel za nje kupitia unlimited internet ndani? Hata kupata sky channels moja Kwa...
  17. MK254

    Wajumbe wa 300 UN walazimika kutazama video za HAMAS, nafikiri sasa makelele yatapungua, kichapo kiendele

    Wajumbe 300 wa Umoja wa Mataifa wamelazimika kutazama unyama uliofanywa na HAMAS na kilichosababisha Gaza ichezee kichapo, ni video zilizokua zinachukuliwa na HAMAS wenyewe kwa walivyo wapumbavu, inapaswa zisambazwe kote kote duniani, ili makelele yapungue na kuipa Israel fursa ya kuendeleza...
  18. Engager

    Nitajie kitu kimoja Mungu aliumba/ aliweka hapa duniani kinavutia kutazama zaidi ya Mwili wa mwanamke

    Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama. Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
  19. The Boss

    Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

    Kuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa... Nimewahi sikia inawezekana kutazama Watsap status bila kuonekana....na Vile vile inawezekana nikaendelea kutazama status hata kama kani...
  20. Gelion Kayombo

    Sababu za kuacha kutazama video za utupu

    Katika kipindi hiki; kipindi cha mtandao wa intaneti mambo yamebadilika sana kiasi kwamba mtu akiwa na simu au kompyuta yake anaweza kuingia mtandaoni kwenye kila tovuti na kurasa kupitia simu yake au kompyuta yake. Hali ambayo sasa hivi upatikanaji wa taarifa umerahisishwa sana. Mtu anaweza...
Back
Top Bottom