Kwa mujibu wa taarifa iliyovhapishwa katika Gazeti la Kingereza la The Eastern ni kwamba ndege za Airbus 220 zote zimepakii, mbaya zaidi kuna ambayo imepakii tokaa mwezi January 3, iliyofataa ilipakii august na ya mwisho imepaki nov 5.
Kuna kupindi ATCL Waliamua kupunguz safari kwa sababu...