Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki
Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je...
Siku moja nilikuwa napita Kariakoo sokoni.
Pale alikuwepo muuza magazeti kapanga magazeti pale, wengine wananunua, wengine wanasimama tu pale kutazama.
Ilikuwepo headline pale kwenye gazeti moja Imeandikwa, "MTIKILA ASEMA BABA WA TAIFA ANASTAHILI KUUAWA"
Siku zile watu walikuwa patient na...
KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA
Edga Mwakabela (Sativa225)
Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela (Sativa255) ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces Salaam na kupatikana 27.06.2024 Katavi.
Shughuli inaanza siku ya Jumapili, 23.06.2024, maeneo ya...
Mtanzania mwenzetu Sativa yuko hoi kitandani akipambania uhai wake. Mungu ni Mkuu amempa nguvu ya kutoka msituni mahali alipotupwa na kufika barabarani. Huo ni muujiza na hapo kuna kitu Mungu alitaka kuwafunulia Watanzania na Ulimwengu kwa ujumla.
Mawasiliano ya simu ya Sativa yataeleza kila...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni? Unawezaje kukubali Jeshi hili? Kamanda Wambura nakuomba 1) Ufanyike uchunguzi HURU wa kina 2) wajibisha...
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya...
Siku 4 zilizopita tarehe 23/ June/ 24, mnamo saa 8: 37 yeye mwenyewe Sativa254 au Edgar Mwakalebela alipost kwenye ukurasa wake wa Twitter (X) maneno haya hapa:
"Ukikoswa koswa na mshale wa jicho basi kichwa lazima kiwajibije"
Baada ya post hiyo ndiyo akapotea mpaka alipopatikana. Yawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.