Msikilize kwa makini Dkt.Isaac Laizer Askofu KKKT Dayosisi ya Magharibi akiongea na wahumini katika Kongamano la UKWATA kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea
"Ndugu zangu tunahitaji kuondoa roho za utekaji. Katika nchi hii siku hizi kutekwa ni jambo la kawaida sana. Na ninyi mnashuhudia watu...
Scene 1: Mji wa Dar es Salaam, Usiku
Maelezo ya eneo: Usiku wa Dar es Salaam, mitaa yenye mwangaza mkali kutoka kwa biashara za usiku na vilabu vya michezo ya kamari.
Sativa ni kijana maarufu anayejulikana kwa kupenda michezo ya kamari. Usiku mmoja, huku akicheka na marafiki zake na akifurahia...
Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao
Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri
Mfano Jeshi la wananchi JWTZ linatimiza majukumu yake ya kulinda mipaka ya nchi na linaheshimika sana na...
Matukio ya kutisha na ya kishetani, kama yale ya utekaji wa watu na kuwapoteza, watoto wadogo kuuawa, kutawaliwa na watu wenye mioyo ya ukatili wa kupindukia, uovu kupewa heshima dhidi ya wema, ni ishara kuwa, yamkini nchi yetu ipo katika laana kwa sababu imetiwa unajisi na damu za wasio na...
Baba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa kiume.
Hiki ndicho kilichotokea kwenye sakata la Singida na mengine ambayo serikali inayavumbua na...
Kuna baadhi ya mambo yalikuwa mazuri sana wakati wa Mwalimu Nyerere au tuseme enzi za Chama kimoja
Mkuu wa Wilaya alikuwa ni Mlezi siyo Mtawala hivyo alihusika kuratibu Ustawi wa Jamii katika Wilaya yake na ikionekana mtu Mmoja hajulikani alipo taarifa ilipelekwa kwake
Ahsanteni 🐼
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) kikiongozwa na wakili Boniface A.K Mwabukusi kimetoa tamko zito lililoweka wazi hali ya kusikitisha inayolikumba taifa. Kwa mujibu wa tamko hilo, kumekuwa na ongezeko la matukio ya kutekwa, kupotea, na kuteswa kwa watu nchini...
chama cha wanasheria tanganyika - tls
kutekwanakuteswa
matukio ya utekaji
tls yakemea utekaji
vitendo vya kukamatwa
vitendo vya utekaji watu
watu kupotea
watu kutekwa
watu wasiojulikana
Habari.
Kama kila siku vyombo vya dola vinatuhamasisha wananchi tuweze kulinda Amani ya nchi Yetu.
Lakini Hali hii kwa hivi karibuni nchini mwetu imekuwa kitu cha tofauti na kuleta sitofahamu kwa sisi wananchi.
Kumekuwa na wimbi kubwa la wananchi kutekwa kwa vipindi tofauti na mazingira...
Unaweza kuta mtu umetekwa kwa amani kabisa, wamekupiga wamekung'oa kucha zako vizuri
Umepambana mwenyewe, umeokotwa baadae ukiwa katika hali yako mbaya vizuri kabisa
Siasa zinaanzia hapo, watu wataanza kugombana ili kubeba credits, mara nani kakuokota, nani kakusalimia wa kwanza, nani sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.