Salaam wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia hii mbaya ya kutumia wananchi wanaokumbwa na matatizo mbalimbali hasa wanaokumbana na mkono wa sheria.
Imefika wakati hadi wanamgombania kama mpira wa kona raia aliye kwenye matatizo husika ili kila mmoja basi aonekane akijali tatizo lake...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na kuhakikisha unafanyika uchunguzi wa tukio lililomtokea Kijana huyo ambaye hivi karibuni alikiri kuwa...
1. Juzi Siku ya Jumapili ya tarehe 30 June 2024 walifika polisi 10.
Eti akiwemo askari wa usalama barabarani (Traffic police) wanataka kumuhoji Edger Edson Mwakabela
2. Walipozuiwa kuingia wote 10 na Daktari, wakakaruhusiwa waingie japo Polisi wawili tuh.
Katika hao wawili walipoingia...
Mtanzania mwenzetu Sativa yuko hoi kitandani akipambania uhai wake. Mungu ni Mkuu amempa nguvu ya kutoka msituni mahali alipotupwa na kufika barabarani. Huo ni muujiza na hapo kuna kitu Mungu alitaka kuwafunulia Watanzania na Ulimwengu kwa ujumla.
Mawasiliano ya simu ya Sativa yataeleza kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.