Wanajamvi jana nilileta uzi humu kuna mtoto nilimkataa miaka minne iliyopita na wamerudi mtaa niliopo yeye na mama yake, sasa muda huu kaja dukani tena aisee nashangaa anafika anasema baba shikamoo.
Sijaelewa hii situation ni kwamba mama yake kashamwambia Mimi ndio baba yake kama ndio hivyo...