kutelekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Grimes, mzazi mwenza wa Elon Musk alalamika Elon kutelekeza watoto, adai pesa za matibabu X!

    Grimes mwanamke aliyezaa na Elon Musk watoto watatu ameamua kuposti X/Twitter akilalamika Elon baba watoto wake hapokei simu au kujibu meseji zake kuhusu mahitaji ya mtoto wao anayehitaji matibabu na kwamba kadri anavyochelewa kutibiwa atapata madhara ya kudumu. Anasema kama Elon hataki kuongea...
  2. Wanajeshi wa Uingereza watuhumiwa kubaka na kutelekeza Watoto Kenya

    KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia Watoto bila msaada wowote Kwa mujibu wa ripoti ya CNN, mamia ya Wanawake wameandika malalamiko hayo...
  3. Botswana: Serikali yakanusha kutelekeza Wanajeshi wake vitani Msumbiji

    Jeshi la Ulinzi la #Botswana (BDF) limesema taarifa hizo zilizoripotiwa na Magazeti kuhusu Wanajeshi kukabiliwa na njaa kutokana na kutokana na kukosa chakula ni za uzushi na hazina msingi. Taarifa ya #BDF imesema Wanajeshi wake waliotumwa Kaskazini mwa Nchi hiyo kulinda amani wapo katika Kambi...
  4. 5

    Wanajeshi wa Urusi watimua mbio na kutelekeza mtambo wao

    Ni baadhi ya mitambo iliyotelekezwa hapo jana katika mashambulizi ya Wanajeshi wa Ukraine mpakani na Urusi ambapo Ukraine wamefanikiwa kuukombo mji wa Khakiv kwa mafanikio makubwa sana
  5. Wanajeshi wa Urusi waanza kutelekeza ngome zao Kharkiv, huku Ukraine wakiingia ndani

    Hali imekua sio, hawaoni umuhimu wa kufia kwenye nchi ya watu..... Russian troops are reportedly abandoning their positions in Kharkiv amid reports of a Ukrainian counteroffensive in the currently occupied region. Military analyst Rob Lee shared what he called a "pessimistic" account from a...
  6. Tabia ya wazazi kutelekeza watoto kwa babu, bibi yashika kasi Mkoani Njombe

    Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
  7. Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

    Wakuu, Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba. Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale...
  8. Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

    Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…