1. Mapango ya Lascaux, Ufaransa
Mapango ya Lascaux nchini Ufaransa yanajulikana kama duniani kwa kuwa na moja ya michoro ya kale zaidi, yakiwa na michoro ya zaidi ya miaka 17,300 iliyopita. Michoro hiyo inaonesha mwanadamu akifuga wanyama kama ng’ombe. Lakini mapango hayo yamefungwa tangu mwaka...