Zab 108:13 SUV
[13] Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu.
Mtu akikuangalia ulivyo, ulipozaliwa, kazi yako, biashara yako, elimu yako, maisha yako, anaweza asiamini juu yako unaweza kufanya mambo makubwa katika maisha yako.
Jamii zetu zinatuona hivyo, familia...
Jina la Jakaya Kikwete limeitwa mambo machache sana ninachokumbuka ni taasisi ya kibingwa ya moyo JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE.
Nyerere ndio anaongoza jina lake kuitwa maeneo mengi MAGUFULI hakustahili kwa namna alivyoboronga kwenye uongozi.
Mambo vipi wadau!
Nataka nitumie jukwaa hili kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba ni dhahiri kila mmoja wetu anatanani kuwa mtu mwema
Hakuna mlevi anaependa kulala mitaroni kwa ulevi au kujidhalilisha
Hakuna mtu anaependa kuwa na hasira kali zinazo haribu hatma ya maisha yake na wengine...
Kuna ofisi moja nilipita, ya serikali, ndugu wapokezi (receptionists) jueni kuwa Mungu amewaweka hapo ili mhudumie wananchi, acheni kiburi, fanyeni kama mnafanya huduma kwa wanadamu mliyotumwa na Mungu kwasababu kwanz amnapokea mshahara kutokana na kodi za wananchi hawahawa! acheni dharau...
Kidogo tumeanza kubadilika
Majuzi nilisafiri na basi moja to Arusha
Wakataka details zangu hamad nikaweka alarm, yaani sijaamka
Nasikia simu habari naviga toka kampuni fulani safari yako ni saa tukukute kituo fulani muda wa kuamka sasa
Nilipenda sana nikatamani na ndege mtuamshe hivi maana...
Siku zote unaweza kutenda mema 100 lakini wapo wanadamu ambao watasubiri utende kosa moja tu ili kufuta mazuri yote ambayo umewahi kutenda katika maisha.
Mwanangu usikate tamaa, wewe ni mwanadamu huwezi kutenda yote, na huwezi kufanya yote yakawa sahii.
By Donald Trump
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.