Inawezekana unatamani biashara au kampuni yako kuwa na website mtandaoni, lakini huna fedha za kutosha kulipia gharama za kutengeneza website. Hivyo basi kuna njia mbadala ambayo binafsi naiona ina uafadhali katika kutengeneza website Bure.
Maana, kuna njia nyingi lakini, katika hizo nyingi zao...