kutenguliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, unadhani ni sahihi viongozi kutenguliwa baada ya kusema 'siri' za serikali? Au wangepewa fursa ya kutengua kauli?

    Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
  2. DOKEZO Mkeka mdogo wa DC Longido kutoka leo usiku, Machawa kufukuzia nafasi

    Baada ya DC wa Longido kutoa kauli kama ya Nape Nnauye kamati ya uteuzi kuandaa jina la kuchukua nafasi huku Lucas Mwashambwa na Josephaty chawa mkuu kukosa uteuzi huo. Taja jina la mrithi wa DC (W) Longido. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…