Leo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana.
Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti.
Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami...