Unaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack yenye changamoto nyingi kuanzia virus, ujumbe kutokea mara kwa mara wa kuinunua, ku expire, n.k.
Narrative kama..
"Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu"
"Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi"
"Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka"
"Sitaki niolewe then nipelekeshwe"
Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+.....
Plus umalaya wa kutosha...
Wiki iliyopita baada ya shule na vyuo vingi kufungwa nilikosa kabisa usafiri wa kunitoa Dodoma kwenda Arusha kwani mabasi yale yenye majina makubwa yote yalikuwa yamejaa.
Jioni kabisa nikakumbuka huduma ya kubook online hivyo nika jaribu
Ikatokea; www.busbora.co.tz
DALILI ZINAZOONYESHA UKIOLEWA UTATESEKA AU KUTESWA SANA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa Wanawake wengi Ndoa ni Kaburi, Ndoa ni Gereza la Guantanamo. Nikiwa sitaki Leo kuleta Fujo Sana na kugombana na Mtu yeyote naomba niandike kifupi Sana.
Dalili zifuatazo zinaonyesha utakapoolewa...
Huna haja ya Kuteseka: Ni mtazamo tu!
Watu wako bize kusaka nguvu za ki.....maji ya.... Nimtazamo tu, tulia!
Mtazamo (attitude) ulionao ndio unaokufanya uishi hivyo ulivyo. Hapo ulipo upo mahali ambapo ni matokeo ya mtazamo wako! Huwezi kuwa zaidi ya unachofikiri. Tulia, acha ubinafsi, saidia...
Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu nzima kuwapeleka Hotelini.
Wachezaji wa Super Eagles wamejawa hasira kutokana na hali hii, wakitishia...
Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo.
Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu.
Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo.
Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za...
UNATESEKA KWA SABABU KUNA UKWELI HUTAKI KUUKUBALI.
1. Kakuacha ila hutaki kukubali kuachwa
2. Hawana muda na wewe ila unalazimisha wawe nao
3. Njia siyo yenyewe ila unalazimisha iwe yenyewe.
4.Wameamua kwenda bila wewe ila unalazimisha uwe safari nao moja.
KUNA UKWELI NI MGUMU KUUPOKEA...
Fisi na tumbili hawana huruma nyakati za mavuno.
Mwanaume ukiamua kukataa kuoa uwe na msimamo. Usije ukajichanganya uzeeni ama jua la jioni ukatepeta ukataka kuoa hawa wanawake, mabinti, ama wadada aina ya fisi na tumbili.
Bora ya chawa kuliko Hawa viumbe wanafanya vituko vya maumivu bila...
Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo.
Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje?
Je, haoni hatari ilioje? Na...
Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa...
Kwa utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya mitano japo utafiti huu si rasmi nimegundua wanaume wengi wanaoteseka kwenye ndoa ni wale waliozidiwa kiumri na wake zao.
Yaani wanaume waliozidiwa umri na wake zao kiuhalisi hawana kauli ya utiisho mbele ya wake zao, hawana maamuzi ya peke yao...
Habari wadau
Ninajiuliza why chuo kikuu chenye wasomi wengi.. cream of the nation kinashindwa kutatua tatizo la maji hata kwa matumizi yao tu ya chuo kikuu
Udsm wanategemea dawasco.. yaani dawasco wakikosa maji.. na chuo kikuu nacho kinateseka sawa sawa na mitaa yetu ambayo imejaa la 7b...
Hii ni aibu sisi ndio mabingwa alafu tunatolewa mapema hivi? Hapana haikubaliki tatizo ni ule mwiko kule nyuma kwa umoja wetu naomba tushirikiane tuutoe haraka iwezekanavyo.
Kama tusipoutoa mwiko tusahau kimataifa kufanya vizuri. Daima mbele nyuma mwiko utoke.
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.
===========
Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine
The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
Utaskia..
"Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka.
"Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
Ndugu zangu huyu binti nimetoka naye mbali sana zaidi ya miaka 5 tupo katika mahusiano na mimi ndio ninamjua vizuri sana.
Ila shida inakuja familia yangu imenigomea kumuoa huyu binti kwa kigezo ntakuja kuteseka badaye na hii inatokana kuna kauli alipishana na mdogo wangu wa kike katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.