kuthibitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jifunze kuthibitisha maudhui ya Akili Mnemba kwani yanaweza kutumika upotosha kuhusu Wanasiasa wakati wa Uchaguzi

    Ni muhimu kutambua mbinu zitakazokuwezesha kubaini maudhui ya picha, video ama sauti, yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AkiliMnemba kwani yanaweza kutumiwa kupotosha uhalisia wa Taarifa nyakati za uchaguzi hivyo kusababisha wananchi kushindwa kufanya maamuzi sahihi. Shikamana na Jukwaa...
  2. C

    Walichokifanya CCM Mkutano Mkuu ni uchaguzi, Uteuzi au kuthibitisha Uteuzi? Hivi hiki kilichofanyika

    Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ? Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini? Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
  3. Huwezi Pinga Kuwa Dini (madhehebu yote) yamegeuka kuwa biashara zinangonya waumini. Kama una hoja utasikilizwa na kujibiwa

    Nipo tiyari kukosolewa lakini Kwa uthibitisho tu na sio mbwembwe zingine. Kwanza hakuna kwenye biblia sehemu yoyote Ile watu walifanya harambee ya kumnunulia mtume ama nabii punda ama farasi Kwa Wakati huo maana hapakuwa na magari Wala pikipiki. Hivyo usafiri wao ulikuwa Punda,Ngamia au...
  4. M

    Janga la Kariakoo limeendelea kuthibitisha udhaifu wa serikali kwenye majanga ya ghafla

    Kwanza, Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari. Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa nchi yetu ni mbovu tukianza na meli ziwa Victoria, tukaja ajali ya treni, kivuko kule nansio, ndege...
  5. Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono. Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi...
  6. Nenda kokote uendako! Kipimo cha akili na utimamu wa mtu lazima akili na kuthibitisha kwa vitendo kuwa kuna Mungu

    Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu! Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna...
  7. Ni muhitimu yupi UDSM aliyehitimu shahada ya masomo ya Computer anaweza kuthibitisha anajua coding?

    Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli...
  8. Makundi ya mkuu wa mkoa au wilaya kujikita katika kupambana na ukahaba.

    Kama mkuu wa mkoa au wilaya anataka kuwakamata makahaba na kuweza kuwapeleka mahakamani haya makundi inaweza kuwa rahisi zaidi kwake na akaeleweka angalau kidogo. 1. Makahaba waliopewa na kutoa kazi baada ya ngono. Ukahaba wa aina hii ni rahisi zaidi kwa sababu anaweza kupata uthbitisho wa...
  9. Siku hii ndio nilishuhudia, niliamini na kuthibitisha kwamba mapenzi hayana wala hayajali umri

    katika harakati zangu za kisiasa, kura za maoni kivyama huko Jimboni, mara hiyo tupo mjini na, ni wakati wa kulala huko guest house. Sasa miongoni mwa wakuu wa msafara alikuepo mtu mzima, lakini ni Mzee sana tena ni wale wa aina ile ambao akivaa koti hawezi kulivua hata kuwe na joto kiasi gani...
  10. Mamelodi Sundowns Wanapaswa Kuthibitisha Ubora wao Dhidi ya Yanga SC

    Pamekuwa na kelele kibao na lukuki kuhusu Ubora na Ukubwa wa Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini. Hata hivyo dhana hiyo imejengeka mno machoni pa watu kwa sababu ya Ufanisi wao wa kucheza pasi nyingi zisizo na msingi katika dakika 90 za mpira. Sasa wamepata fursa nyadidi ya...
  11. N

    Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Habari ya wakati huu, wakuu? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, na ni ndoto zangu kwenda nchi ya Canada au ughaibuni popote tofauti na bara la Asia kusoma na kutafuta maisha. Nina shahada ya sheria, lakini hata hela ya kwenda pale Law School ni tatizo. Kama kijana nisiye na manung'uniko na...
  12. Msemaji wa IDF Daniel Hagari akiwa hospitali ya Al Shifa kashindwa kuthibitisha mahandaki ya Hamas

    Wanaukumbi. Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia kama kinga. IDF wamevamia hospitali na na hii ndiyo taarifa yao. "Wanajeshi walipata sare za...
  13. Nigeria yashinda rufaa na kuepuka kulipa fidia ya USD 11 billioni katika Kesi ya usuluhishi ya Mkataba wa gesi

    Mgogoro huo ulihusisha Makubaliano ya mwaka 2010 baina ya Nigeria na Kampuni ya Process and Industrial Developments Limited (P&ID) kuendesha Kiwanda nchini humo ambacho kingebadilisha gesi asilia inayochomwa wakati wa uzalishaji wa Mafuta kuwa Umeme Kampuni hiyo ilipewa Kandarasi ya miaka 20...
  14. Hivi Ulaya kuna utaratibu wa kuulizwa jina la balozi wa mtaa/mtendaji kata, diwani au mbunge ili kuthibitisha kama ni mkazi wa sehemu husika?

    Nikiwa narudi zangu ghetto imebidi nipite shortcut bahati mbaya nimekosea njia nakujikuta napita njia ya kwenda uhani kwa mtu sio mzuri kwenye vichochoro vya mjini sasa wahusika wakaanza kuwa na mashaka na mimi. Wakaniweka mtu kati nakuanza kuniuliza maswali with confidence nikawaelezea kuwa...
  15. Nipo hapa kuthibitisha mayele kuchezea yanga 2023/2024

    Habari ndio hiyo anarudi yanga dili lake la nje limebuma atabakia yanga kwa mwaka mmoja zaidi
  16. Kwanini Ally Kamwe ameshindwa kuthibitisha kama Lucy Eymael amelipwa deni lake?

    Nimesikia mahojiano ya simu yaliyofanywa kwenye kituo kimoja cha redio cha Wasafi kufuatia tetesi zinazoenea za Yanga kufungiwa usajili. Ally Kamwe ameonekana kusikitishwa na uvumi huo na kuuita habari za uongo. Lakini hoja aliyotumia kupinga tetesi ni kwamba taarifa hiyo haijatolewa na...
  17. M

    RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  18. Kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa online RITA

    Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado? Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account...
  19. Tunapaswa kuendelea kuswali tukiangalia upande wa Qibla?

    Tunapaswa kuswali tukiangalia Qibla, Science ikithibitisha uwepo wa viumbe/binadamu kwenye nyota nyingine tutaswali tukiangalia wapi? Ni swali ambalo nilipata baada ya kuona uzi aliopost bwana mdukuzi alipofanya udukuzi ambao sijathibitisha ukweli wake kwamba "Waislam wa Bara Hawajui Qibla Iko...
  20. Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua Trafiki, Serikali imeshindwa kuthibitisha

    Mfanyabiashara Aman Elikana (38) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. Elikana alikuwa akituhumiwa kumuua askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, mwenye namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…