MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Kennan Kihongosi amekalia kuti kavu baada ya kushindwa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya Mkoa huo na kutumia muda kujihusisha na makundi ya kisiasa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Bariadi.
Tetesi zinazoenea ni kwamba mkuu huyo wa mkoa ameshagombana na Mwenyekiti...
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi, Januari 6, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya waandishi wa habari Maregesi Paul na wenzake 9 wanaotaka Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe aamuliwe kwenda gerezani kama mfungwa wa madai kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya misharaha yao...
Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!
Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona...
RECHO TEMU AKALIA KUTI KAVU KENYA
Wakati Nchini Kenya Jana ikiwa busy na Vuguvugu la Vijana wa Kisasa maarufu kama Gen Z wakiendelea kupambana na Serikali ya Ruto, huko katika Viunga vya Mahakama ya Kenya ya Kahawa Court Mtanzania Socialism mwenye mbwembwe na Matusi anayejiita Diplomatic...
Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha, imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo, kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka, na huenda wakafirisika baada...
Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya mali za umma kwa kujinunulia gari kwa fedha ya umma nje ya utaratibu wa serikali.
Kwa mara...
Vipi wakuu.
Ki ukweli inashangaza sana raisi wa nchi ambayo ina jeshi, polisi na serikali, lakini anakosa kupata habari za kiintelejensia kuhusu kile kinachoweza kumtokea mbeleni endapo atataka kutumia mamlaka yake kama raisi kupambana na mtu au nchi inayomshinda kila kitu.
Najua fika kuwa...
Spika wa Bunge Dr Tulia Mwansasu umetuaibisha na kutushushia heshima wanyakyusa wenzako kwa kitendo chako cha kukubali kutumika na kupitisha mkataba wa kitapeli wa bandari.
Unatufahamu wanyakyusa hatutaki ujinga kwenye mambo ya msingi, umepewa dhamana kubwa ya kuendesha chombo kikubwa katika...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World.
Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.