kutimiza majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchochezi

    Ikitokea Rais wa sasa akashindwa kutimiza majukumu yake, je Makamu aliyejiuzulu anayemalizia muda wake ataapishwa kuwa Rais?

    Naombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi. Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10. Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?
  2. M

    Kiwango gani cha ulevi wa pombe kinaweza kuthibitisha kuwa mtumishi wa umma ameshindwa kutimiza majukumu yake?

    Nauza Kangala huku nafundisha huu mwaka wa kumi. Wateja wangu wakubwa ni walimu wenzangu. Huwa tunapiga Kangala na tunachanganya na pombe kali za bei rahisi ili kupata stimu. Lakini tupo vizuri. Tunapiga kazi na wato wanafaulu. Ni kweli asubuhi huwa harufu inatema ila tunakuwa hatujalewa. Ni...
Back
Top Bottom