kutimiza ndoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Charongo

    Nifanye nini ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa muigizaji?

    Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
  2. John Gregory

    ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
  3. K

    Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  4. realMamy

    Kadhia anazokumbana nazo Mtoto wa kike hadi kutimiza ndoto zake

    Hii iko wazi kuwa Mtoto wa Kike anakumbana na Vikwazo vingi sana hadi kutimiza ndoto zake. Vikwazo hivo huanzia Pale tu anapozaliwa katika familia ambazo zilihitaji Mtoto wa Kiume kuwa wa Kwanza ili kupata mtoto wa kuendeleza ukoo na kurithi mali. Basi huanza kubaguliwa kuanzia hapo yeye na...
  5. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika wasaidia kutimiza ndoto za Waafrika

    Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
  6. Daspauls 238

    Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Matokeo yapo kama hivi Civ C Bio C Chem B English B Phy D Math D History B Kisw B Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
  7. LIKUD

    Mhitimu unayeamini waliopata sifuri Form 4 ndio kutimiza ndoto zao basi elewa kwamba ulipoteza muda shuleni

    Watu kadhaa wamenitag kwenye Uzi wa matokeo ya Necta ili nijionee jinsi vijana wa shule za Kayumba walivyo pata zero na 4 kwa wingi. Ni kama vile wanasema "Wewe si ndo unajifanya kuzipigia kampeni shule za Kayumba ona sasa walicho kipata?" Hapo hapo ni kama vile wanasema tena "Hawa vijana...
  8. L

    Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  9. P

    Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
  10. BabaMorgan

    Wana JamiiForums, naomba mnisaidie kutimiza ndoto zangu kuwa Clearing and Forwarding Agent

    .
  11. M

    SoC02 Jinsi mtazamo unavyojengeka kuanzia utotoni, Mchango wa wazazi kutimiza ndoto hai

    Utangulizi: Nchini Tanzania, Mtoto ni binadamu mwenye umri chini ya miaka 18, Ni tafsiri kutoka sheria ya watoto ya mwaka 2009, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, sehemu ya pili, kifungu cha nne, kifungu kidogo cha kwanza Rejea: TLS – Online Legal Aid Repository Kila mzazi/mlezi huwa nania...
  12. John kirua

    Nahitaji ushauri wenu ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Poleni na majukumu ndg zangu. Naitaji ushauri wenu ili niweze kutimiza dream yangu. Mimi na rudia mtihania wa kidato cha nne, pia ni mwajiriwa najisomesha mwenyewe, nimepatwa na changamoto ambayo ina pelekea mwezi huu ni siweze kuudhuria vipindi vya shule na kufanya solving mbali mbali. Je...
  13. S

    Issue kubwa ni watu kutaka kutimiza ndoto zao za urais 2025 baada ya Mwendazake kuondoka

    Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025. Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema...
  14. J

    Ushauri: Ukiyafanya mambo haya saba kwa usahihi ni rahisi kutimiza ndoto zako

    Habari za muda huu watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk. 1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka kukifanya, kwa...
  15. smartdunia

    Njia sahihi ya kutimiza ndoto

    Imeandikwa Na Smartdunia. Nasikitika kusema,huu ni ukweli unaoumiza, lakini wenye uwezo wa kukubadilisha kabisa. Hebu tuanze na kauli hizi tulizozizoea Kisha tujue madhaifu na mazuri yake yote. "Tafuta pesa ili watoto wako wasikae kwenye vijiwe kubishana kuhusu Diamond na Harmonize" "Tafuta...
  16. The Sheriff

    Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

    Hii ni historia ya maisha aliyopitia David tangu 2007 alipopata changamoto na namna alivyopambana mpaka kufika alipofika leo hii. Stori hii David anasema ina nia ya kuwapa nguvu wote ambao leo hii wapo kitandani wanapambana na maumivu ya jeraha la uti wa mgongo na pengine wameshaanza kukata...
Back
Top Bottom