kutimka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

    Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu. Sababu ni kwamba Simba hawampi thamani pia haoni mipango yoyote ya Simba kusonga mbele badala yake wao Simba wanasonga ugali na dagaa Zanzibar.
  2. H

    Fiston Mayele kutimka Yanga

    Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al...
  3. Azam Media hakuna maslahi makubwa hadi watangazaji wake mahiri kutimka?

    Nimekuwa nikishangazwa sana na jambo hili kwamba kampuni kubwa nchini kwa masuala ya media ndio kwanza wafanyakazi wake mahiri wanatimka kila kukicha kwenda kufanya kazi kwenye taasisi zingine Tena wababaishaji wengine. Mfano mzuri ni huyu Afisa Habari wa Simba sports club Ahmed Ally alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…