Hawa jamaa Makachu divers wamejizolea sifa nyingi zanziber lakini ghafla serikali ya zanziber imesitisha huu mchezo. Ila nasikia wamehamia coco beach.
Kabla ya kuruhusu huu mchezo ni bora kuangalia yaliyosababisha ukafungiwa zanziber yasijejitokeza na huku. Pili huu mchezo ni kama hatarishi...