kutishiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  2. Aliyedai kuvunjwa mguu na kigogo wa Polisi Arusha, adai kutishiwa maisha

    My Take Yule RC wenu wa Taifa anaejiita mtetezi wa Wanyonge Ajitokeze kusimamaia Haki ya huyu mnyonge anaedai kutendewa unyama na kigogo wa Polisi huko Mkoani kwake Arusha. Kipimo sahihi Kwa hao watu wanaojigamba ni kutetea watu walioumizwa na wale wanaowalinda au kuwatuma ndio tutajua...
  3. Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio...
  4. Ripoti: 50% ya Waandishi wa Habari Tanzania wameripoti kuwahi kutishiwa, kushambuliwa au kuteswa wakiwa kwenye majukumu yao

    Ripoti ya Utafiti wa Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya Habari Tanzania imebaini masuala muhimu yafuatayo: 20% ya Waandishi wa Habari wanasema ajira yao ni ya kudumu huku 63% wanasema ni vigumu kupata maisha mazuri kupitia Uandishi wa Habari. Waandishi wa Habari wa Kike...
  5. Askofu wa Kanisa Katoliki alalama Padre wake kutishiwa kisa mchanga unaopelekwa Zanzibar

    Ni Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Ngara ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook === Hiyo picha chini inaonyesha janga la uharibifu wa mazingira eneo la Segerea, mto Msimbazi! Miaka 27 iliyopita mto huu haukuwa mpana hivi. Palikuwa na daraja unavuka toka pale seminari...
  6. M

    Urusi iligoma kutishiwa nyau na Ukraine ikaamua kumshambulia

    Iko hivi, ili kumwogopesha urusi asiendelee kutumia makombora yake ya hypersonic missiles kushambulia sehemu nyeti za ukraine, wakaamua kuzua uongo kuwa Patriot air defense imedungua makombora sita ya "hypersonic missiles) ya urusi. Lengo ni kumtisha urusi asiendelee kuyatumia. Urusi ikaamua...
  7. Watu wengi wamehitimisha kwamba MC Joel alijirusha, wanasahau kuhoji kwamba kuna kurushwa kwa nguvu na kutishiwa ujirushe

    Ndio kawaida ya watu wengi kufikia conclusion wakiona mtu karuka ghorofani basi kajirusha, Tukumbuke pia kuna kuruka kwa mazingira haya. A. Kurushwa na mtu au watu wengine kwa nguvu, hapa inaweza kuwa mtu anasukumwa kwa nguvu ili adondoke, kuna watu wana nguvu hana haja kukusukuma anakurusha...
  8. Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

    Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa anamiliki silaha aina ya Glock-17 kwa ajili ya kujilinda kutokana na kutishiwa kuuawa. Akihojiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…