Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Grace Shiyo amesema CCM hakuna uhuru wa kutoa mawazo, bali mawazo ya Mwenyekiti ndiyo yanasikilizwa.
"Kwa ufupi CCM hakuna uhuru wa maoni, CCM siku zote wanatembea kwamba zidumu fikra za mwenyekiti. Kwahyo unapokuwa na kira tofauti na Mwnenyekiti unakuwa...
Habari wana bodi.
Kutokana na Anachoendelea kukifanya Trump huko USA, Nimepata tafakuri ya hapa kwetu Tz.
Tuko na baadhi ya taasisi zilizo shindwa kabisa wazi wazi kutekeleza matakwa ya kuanzishwa kwake hivyo ni sawa na hakuna.
Uzi huu ni wa kupendekeza hizo taasisi, Na kupendekeza zifutwe au...
Mpo wazima!
Awe Chawa wa CHADEMA!
Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule.
Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani.
Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania.
Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
Honestly ndio ukweli.
Salamu ni muhimu maana hatupo sehemu moja wakuu!
Kwa hali ilivyo sasa ivi
Hatuwezi tena kutoa maoni juu ya namna nchi yetu itakavyoendeshwa
Kwa sababu ukitoa maoni ambayo wenye mamlaka hawayapendii wallah nakuambia unakamatwaa very soon kama Mh Mboye alivyokamatwa leo...
Shirika la ujasusi la Ujerumani limemweka bosi wake wa zamani Hans-Georg Masen, ambaye sasa ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia, chini ya uangalizi kwa ajili ya maoni yenye itikadi kali.
Masen leo ametoa barua kutoka kwa shirika la ujasusi la BfV kwa wakili wake baada ya vyombo vya habari vya...
Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi .
Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni...
Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni.
Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri.
Katika Katiba...
Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?"
Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70...
Utafiti uliofanywa kwa ushirikiano wa Sabancı University, Nukta Africa, Utah State University na University of Pennsylvania. Umebaini kuwa mbali na uwepo wa sheria kandamizi watanzania huendelea kutoa Mawazo yao kwa uhuru ndani ya JamiiForums.
Utafiti huu uliofanywa na Fatih Serkant Adiguzel...
Wakuu,
Uhuru wa kutoa maoni umehakikishiwa na katiba katika ibara ya 18 kwa kila mtu bila kuathiri sheria za nchi. Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa mawazo yake nje. Uhuru wa kutoa maoni hautakiwi kubaki kwenye makaratasi, badala yake watu wajisi kuwa huru na waweze kutoa maoni...