kutoa mikosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Nawezaje kutoka mikosi

    Wakuu nadhan Nina mkosi, Kazi sipati nikipata mbaya, Nikinnua mifugo inakufa, Biashara holaa, Mke Sina, Kwa mganga nimeenda mara moja lakin nayenyewe bado haijanisaidia. Nachomokaje hapa wakuu.
Back
Top Bottom