Helloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, tena mimba mbili.
Kwa alivyo mpole sikumdhania kabisa, amemaliza chuo mwaka huu na AME graduate...