kutoa msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Trump amegundua kiasi cha $50million kilitaka kutumika kutoa msaada wa Condoms huko Gaza.

    Mind you, hamas imekuwa ikitumia kondomu zilizojazwa heliamu kuelekeza mabomu kupitia mpaka wa Israel ili kufanya madhara.
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Mbeya: Tulia Ackson akusanya waandishi wa habari ili kutoa msaada wa tani mbili za chakula kwa wasiojiweza

    Wakuu, Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada? Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine. Hivi kweli kuna mtanzania wa kawaida unayemjua ambaye ataenda kutoa misaada kwa sababu ya motivation...
  3. Kaka yake shetani

    Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
  4. matunduizi

    Kwanini kutoa msaada ni ibada

    Watu wa dini, wasioamini Mungu, freemasons kupitia charity zao, wote wanaunganishwa katika jambo moja la kutoa msaada kwa watu wenye shida. Kutoa kwa kusukumwa na huruma kwa mwanadamu mwenzako ni ibada kamili iliyokamilika. Hii kazi ilipaswa kufanywa na Mungu mwenyewe aliyemuumba huyo mtu, wewe...
  5. copyright

    Wataalamu wa ESS njooni mtumbue hili jipu kwa kutoa msaada

    Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu! Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor. Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo...
  6. TODAYS

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Tanzania tuna aridhi inayolimika zaidi ya hekta 44,000,000 na hekta 29,000,000 zinazofaa kilimo cha uwagiliaji. Pia tunapata mvua ya zaidi ya milimita 3,000 ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kulima kwa mwaka mzima. Hapa chini ni chakula misaada ambacho tumepokea kutoka marekani. Chini ya...
  7. Mhafidhina07

    Kutoa msaada ni njia mojawapo ya kujionesha ili upate ushawishi wa kumtapeli mpokeaji

    MSAADA ni kiasi au idadi ya kitu ambacho kinatolewa kwenda mtu fulani ambaye huonekana kuwa anauhitaji wa hicho kitu hivyo msaada kwa maana ya haraka kuwa ni njia ya kujionesha kuwa unatoa fungu fulani ili kupata ushawishi kwa lengo au watu fulani mara nyingi tumezoea kuona wanasiasa wakitoa...
  8. Kamanda Asiyechoka

    Wakili Kambole: Vyombo vya dola vikivunja haki za binadamu wakati wa Maandamano ya amani, hatua za kisheria zitachukiliwa

    ======= "Wakati wa Maandamano ya amani, Vyombo vya dola vikivunja haki za binadamu kwa namna yoyote hatua za kisheria zitachukiliwa dhidi yao! Iwapo waandamanaji watafikishwa kwenye vyombo vya sheria msaada wa kisheria upo kwa ajili yao! Ni bora wakalindwa wafanye maandamano kwa amani!" Wakili...
  9. nyaggad

    Natafuta taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu hapa Dar, nataka kutoa msaada

    Habari wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta (Ngo)taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu zilizopo hapa Dar es Salaam, lengo kubwa kutoa msaada, anayezifahamu anielekeze tafadhali ikiwezekana anipatie hata mawasiliano yao. Asanteni.
  10. MK254

    G7 Waahidi kutoa msaada zaidi huku Ukraine wakijiandaa kuanza mashambulizi

    Ukraine wamekua wakifanya maandalizi ya kufanya mashambulizi "spring counteroffensive", kwa muda walikua wanasklizia ubabe wote wa Urusi na mpaka hapo hamna jipya, Mrusi amekwama kashindwa kufumua kamji ka Bakhmut, sasa ni zamu yake ya kupokea. G7 wameahidi kutoa msaada na kusimama na Ukraine...
  11. MK254

    China yaendelea kujitetea haijawahi kuwa na lengo la kutoa msaada wa sila Urusi

    China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi...... Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu kuhusu nchi yoyote kwamba inampa msaada Putin itakua kwenye tabu...hata mataifa ya Kiarabu...
  12. Mganguzi

    Sisi hatukupaswa kutoa msaada wa fedha Uturuki, tulitakiwa kutuma kikosi cha uokoaji

    Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha! Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu. Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii...
  13. Billal Saadat

    Serikali ya Tanzania yatoa msaada Uturuki

    Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu. Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa Malawi [emoji1156] waliokumbwa na...
  14. F

    Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya choo hazipaswi kutoa msaada wa fedha kwa nchi matajiri duniani

    Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita. Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
  15. D

    Je, ni sahihi kuchangisha watu michango kwa ajili ya kutoa msaada?

    Nimekuwa nikiona mara Nyingi watu huandaa matukio ya kuchangia watoto wanaoishi katika mazingira magumu,yatima,Wafungwa ma wagonjwa kisha kushirikisha ndugu au watu wengine kuchangia. Yaani unajikuta tu upo kwenye Kundi la Whatsap na kisha unaombwa kutoa ahadi yako kwa ajili ya tukio Husika...
  16. Kidagaa kimemwozea

    Jinsi ya kutoa msaada wako kwa maafa yalitokea Uturuki na Siria

    At the beginning of this week, a strong 7.8 magnitude earthquake shook parts of southern Turkey and northern Syria. For those who wish to help out the affected regions, here are some options for donation links you can look into 👉 AFAD Turkey's Disaster and Emergency Management Presidency: 🔗...
  17. Mia saba

    Ulishawahi juta Mara baada ya Kutoa msaada?Tukutane hapa

    Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia. Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea...
  18. MK254

    Korea Kaskazini wajitetea kwamba hawajawahi kutoa msaada kwa Urusi

    Jameni maskini Urusi, waliokua wanampa msaada wote wanajitetea na kumkimbia, juzi Iran alijitetea sana jinsi hajamsaidia, naona Korea Kaskazini naye kachomoa..... North Korea said on Tuesday it has never had arms dealings with Russia and has no plans to do so, its state media reported, after...
  19. MK254

    Kama tujuavyo Iran ni mnyonge wa Israel, sasa Israel wanaweza kutoa msaada wa suluhu dhidi ya drones

    Israel walikua wamekaa pembeni hawataki kuingia kwenye huu ugomvi, ila baada ya kuona Iran anajikweza kwa drones zake alizotoa kama msaada kwa Urusi ili zitumike kuua watu wa Ukraine, ameanza kutoa matamko na tujuavyo yeye haitakua shida kwake kudungua hizo drones. ================== Israel...
  20. Mr George Francis

    Wajibu wa ndugu kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu

    Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu. Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii kwa mtu huyo mwenye ulemavu. Mfano: makazi, chakula, elimu, afya, maji au mavazi nk. kama miongoni mwa...
Back
Top Bottom