Nina mavazi ya kiume ya mtu mzima.
Mashati, suruali, makoti, viatu, mabegi,mashuka nk
Mengine yamewahi kutumika na kuna mengine hayajawai tumika.
Naamini kuna watu wanauitaji wa hivi vitu kuliko mimi kuviteketeza.
Kwa mwenye kufahamu namna naweza kuvifikisha kwa wahitaji.
Iwe wazee, watoto nk...