Habari wana jamvi!
Nisiwachoshe kama ambavyo hampendi kuchoshwa.
Mwaka jana mwezi wa nane nikifanikiwa kutimiza haja ya moyo wangu baada ya kufanya savings ya miaka 25 kukusanya pesa ya mtaji.
Nilifanikiwa kukusanya pesa kidogo na kuagizia mzigo container moja wangu, mzigo ulifanikiwa vyema...