Safari ya kutafuta furaha ya Kweli.
RATANJI TATA: Bilionea wa India Ratanji Tata alipoulizwa na mtangazaji wa redio katika mahojiano ya simu:
Bwana, unakumbuka nini ulipopata furaha zaidi maishani? Ratanji Tata alisema:
Nimepitia hatua nne za furaha maishani, na hatimaye alielewa maana ya...
likuwa jioni ya majira ya baridi kali katikati ya jiji la Arusha, ombaomba na mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano walikuwa na njaa kali ilio ambatana na hali ya dhoruba,
Walikuwa wakitembea tembetembea katika mitaa ya Sanawali.
Hawakuwa na chakula tangu asubuhi njaa ilio watesa...
Wana jamii nadhani mko poa.
Leo kuna nataka kusema maneno machache sana yenye faida kubwa sana.
Ndugu zangu kama tunatafuta furaha za kweli hapa duniani ebu tujaribu kusaidia wasio jiweza kwa namna yeyote ile iwayo kwani kufanya hivyo kuna manufaaa kwako ww unaesaidia licha ya yule unaemsaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.