likuwa jioni ya majira ya baridi kali katikati ya jiji la Arusha, ombaomba na mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano walikuwa na njaa kali ilio ambatana na hali ya dhoruba,
Walikuwa wakitembea tembetembea katika mitaa ya Sanawali.
Hawakuwa na chakula tangu asubuhi njaa ilio watesa...