Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa.
Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1.
Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe.
Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini.
Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa...
Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata.
Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
Huduma za PayPal barani Afrika kwa ujumla ni chache katika nchi nyingi, haswa linapokuja suala la kutoa pesa. Hata hivyo, idadi kamili ya nchi za Kiafrika ambako PayPal inazuia utoaji wa pesa inaweza kubadilika muda unavyozidi kwenda kutokana na mabadiliko katika mazingira ya udhibiti, ubia na...
Niaje pande hizi wakuu? Bana me mgeni kidogo kwenye haya maswala na nilitaka kufahamu jambo kuhusu Payoneer, Ni kiasi cha muda gani inatumia mpaka pesa kukufikia ukiwithdraw direct kutoka payoneer kwenda Local Bank? Nimetumia CRDB, Nimewithdraw Jumanne ila hadi leo Jumatano bado haijafika
Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to withdraw i have $70 i need it to pay some stuffs
Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa.
Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU.
Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe.
Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna.
Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
Wasalaam
Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao.
Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM
Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka.
Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii
What a pity?
Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
Habari wadau.
Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank.
Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. .
Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
Habari ndugu zangu,
Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo.
Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
Wakuu nimekutana na hii clip,
Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki.
Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako.
---
Kadi za kielekroniki za CCM kutumika kama ATM
Iringa. Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa...
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema sifa hizi hutolewa kwa kuwa Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi.
Amesema kuwa hii haiondoi ukweli kuwa...
Hello!
Ikiwa uko selo ya polisi Tanzania, au ndugu yako yuko lupango ukimfuata rafiki yako au ndugu yako polisi akusaidie kumtoa jamaa yako lazima atakuzungusha na mwisho wa siku atakurudisha kwa mwenye jalada (a.k.a mwenye dili lake)
Ni kama wameapa hakuna kuingiliana madili. Ukiwa na tatizo...
Hatimae leo nimefanikiwa kutoa pesa iliyokuwa kwenye simu yangu kwa Uchungu mkubwa.
Kabla ya makato ya serikali nilikuwa na mazoea ya kuweka pesa yangu ya akiba kidogo kwenye simu na nyingine cash kwenye kibubu,
siku moja kabla ya ongezeko nilitumiwa meseji kuhusu makato nilijua yatakuwa madogo...
KUMBUKA
• Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
• Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
• Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.