kutoa pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sijui jamaa alikuwa anakwenda kutoa pesa akanunue nini mpaka akavurugwa hivi

    Sijui jamaa alikuwa anakwenda kutoa pesa akanunue nini mpaka akavurugwa hivi πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
  2. G

    Kuna benki unasubiri saa zima kuweka/ kutoa pesa. Ni benki gani ya kuaminika ambayo nitahudumiwa fasta?

    Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa. Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1. Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
  3. LGE2024 Viongozi wa CCM wa Kata wakishirikiana na madiwani wao wameanza kuzunguka usiku na kutoa pesa kwa watia nia wa upinzani wajitoe

    Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe. Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini. Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa...
  4. Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

    Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
  5. Nchi za Afrika zinazoshindwa kutoa pesa kwa Paypal

    Huduma za PayPal barani Afrika kwa ujumla ni chache katika nchi nyingi, haswa linapokuja suala la kutoa pesa. Hata hivyo, idadi kamili ya nchi za Kiafrika ambako PayPal inazuia utoaji wa pesa inaweza kubadilika muda unavyozidi kwenda kutokana na mabadiliko katika mazingira ya udhibiti, ubia na...
  6. M

    Kutoa Pesa Payoneer Kwenda Local Bank Inatumia Muda Gani?

    Niaje pande hizi wakuu? Bana me mgeni kidogo kwenye haya maswala na nilitaka kufahamu jambo kuhusu Payoneer, Ni kiasi cha muda gani inatumia mpaka pesa kukufikia ukiwithdraw direct kutoka payoneer kwenda Local Bank? Nimetumia CRDB, Nimewithdraw Jumanne ila hadi leo Jumatano bado haijafika
  7. Nisaidie kutoa pesa kuleta kwenye account yangu tanzania

    Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to withdraw i have $70 i need it to pay some stuffs
  8. Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna. Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
  9. NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

    Wasalaam Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao. Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka. Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii What a pity?
  10. Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
  11. Nina milioni 1, nawaza kufungua biashara kutuma na kutoa pesa. Je, inalipa?

    Nina 1.M nawaza kuwa Wakala wa kutoa pesa na ktuma pesa wazoefu inalipa kweli? Wenye experience na hii kazi Ina faida kweli
  12. Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

    Habari wadau. Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank. Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. . Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
  13. Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  14. Issa Haji Gavi: Kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa hela benki

    Wakuu nimekutana na hii clip, Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki. Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako. --- Kadi za kielekroniki za CCM kutumika kama ATM Iringa. Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa...
  15. Mwigulu Nchemba: Kauli ya kumshukuru Rais kwa kutoa pesa isitugawe Watanzania

    Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema sifa hizi hutolewa kwa kuwa Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi. Amesema kuwa hii haiondoi ukweli kuwa...
  16. Fahamu kwanini ukiwa na tatizo ndugu yako Polisi hawezi kukusaidia bila wewe kutoa pesa

    Hello! Ikiwa uko selo ya polisi Tanzania, au ndugu yako yuko lupango ukimfuata rafiki yako au ndugu yako polisi akusaidie kumtoa jamaa yako lazima atakuzungusha na mwisho wa siku atakurudisha kwa mwenye jalada (a.k.a mwenye dili lake) Ni kama wameapa hakuna kuingiliana madili. Ukiwa na tatizo...
  17. Mwanaume wa kwanza kutoa pesa kwa mke wake 1825. Pumzika kwa amani huko uliko

  18. Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
  19. Namshukuru Mungu zoezi langu la kutoa pesa kwenye simu limeenda salama

    Hatimae leo nimefanikiwa kutoa pesa iliyokuwa kwenye simu yangu kwa Uchungu mkubwa. Kabla ya makato ya serikali nilikuwa na mazoea ya kuweka pesa yangu ya akiba kidogo kwenye simu na nyingine cash kwenye kibubu, siku moja kabla ya ongezeko nilitumiwa meseji kuhusu makato nilijua yatakuwa madogo...
  20. Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA β€’ Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa β€’ Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako β€’ Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…