Habari za leo wakuu,
Leo tujadili hizi tozo za mabenki [withdrawal charges] kwa wateja ambao kimsingi ndio wamiliki wa fedha hizo.
Mteja anatunza pesa yake benki, na benki zinaifanyia biashara [kukopesha] kwa faida. Kisha mmiliki akihitaji kutoa kiasi chochote kwa matumizi yake hutozwa 'ada'...