Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki.
Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa...
Habari wadau
Kuna familia imepata msiba wa mama yao. Mama huyo amefariki kwa mateso makali ya kuugua kwa zaidi ya miaka 10. Mama huyo alikuwa na cancer na Stroke pia.
Familia imeuza mali zao karibu zote katika harakati za kumtibia mama yao na mateso ya kisaikolojia ya kuuguza wamepitia sana...
Mungu Baba mwenye enzi yote Muumba wa mbingu na nchi asante baba kwa kutuvusha salama sisi CHADEMA kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Mara tu baada ya ushindi wa Lissu nikajiwa na wazo la kurudi Kilingeni nikafanye kafara lakini nikakumbuka kumbe nilishatoka huko 💪🏿🙏🏿
Bila kusema uongo mimi ni...
Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na...
Zijue Furushi za Baraka Zinazotokana na Kutoa Sadaka
Sadaka ni nini
Sadaka ni kitu au fedha ambazo hutolewa na mtu kwa kuwapa wale aliowakusudia kama ishara ya kuwathamini na kuwapenda. Ni shukrani na maombi yetu kwa Mungu wetu. Sadaka inatolewa kwa ajili ya kushukru jambo fulani au inatolewa...
Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili.
Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani
✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa
✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake...
Sababu za Kutoa Sadaka
Sadaka ni Nini
Moja ya nguzo muhimu sana katika imani ya Kikristo ni sadaka, Sadaka ni nguzo muhimu sana, kwa sababu hata Kristo mwenyewe alifanyika sadaka kwa ajili yetu ili sisi tuokolewe. Kama Kristo asingejitoa nafsi yake kwa ajili yetu sisi, tusingekuwa popote...
Habari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
halafu Mungu anatoa sadaka ili apate nini?
Laiti mtoa sadaka angejua kwa yakini kwamba sadaka yake inapitia kwenye (mkono) wa Mwenyezi Mungu kabla ya kuingia mkononi mwa masikini, ingekuwa ladha ya mtoaji.. ni kubwa kuliko ladha ya mpokeaji..
-ibn alqayyim
Je unajua faida ya kutoa sadaka?
Sikilizeni enyi watoa sadaka, nyinyi na ambao...
Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka.
wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini, kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu, masheikh na wahubiri kufanya kazi kwa kiasi kikubwa ili kujiihudumia.
Ukweli ni kwamba Ukitoa sadaka...
Habari wakuu, katika harakati za kubet miaka kadhaa hatimaye leo nimevuna kiasi kikubwa, kwa mujibu wa imani yetu kubet ni haramu, je hii pesa naweza kutumia kutoa sadaka au nayo ni haramu niitafune yote?
Kitendo cha kutoa sadaka kimefungamanishwa na uhai wa binadamu kiasi kwamba huwezi kuishi bila kutoa sadaka. Ukizuia kutoa ili uujenge ufalme wa Mungu utatafuta pa kuipeleka. Ila lazima utatoa hata kama utaitungia jina tofauti.
Tendo la kwanza mwanadamu wa kwanza kuzaliwa (Kaini na Habiri)...
Shukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ???
Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ??
Yaani maendeleo...
Nimekulia kwenye familia ya KKIKRISTO made hebu ya Kilutheli, na Sunday School na Kipaimara nilikuwa mwanafunzi bora kabisa nikiwa nimekariri vifungu vingi sana vya Biblia.
Baada ya kuhitimu kidato cha sita, nilipata daraja la tatu, nikaona niingie mazima kwenye biashara maana hamna tena namna...
Habari zenu wakuu,
Nimekuja na huu uzi hapa tuzungumzie jukumu la kuwalea watoto wetu katika mazingira ya kutoa sadaka kwa jamii.
Mfano, kila Ijumaa au Jumapili unawapa mfuko wa pipi au biskuti, na kuwagawia marafiki zake wa mtaani, hii njia itamjenga sana katika maadili ya kutoa.
Wazee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.