Habari zenu wakuu,
Nimekuja na huu uzi hapa tuzungumzie jukumu la kuwalea watoto wetu katika mazingira ya kutoa sadaka kwa jamii.
Mfano, kila Ijumaa au Jumapili unawapa mfuko wa pipi au biskuti, na kuwagawia marafiki zake wa mtaani, hii njia itamjenga sana katika maadili ya kutoa.
Wazee...