KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya kukitumia na kukiacha siku kikiwa Expired na useless. Hiyo ni Kanuni.
Ndoa ni muunganiko wa hiyari...
Kataa ndoa, mwanenu Makabila yamemshinda sasa anajuta
==
Nyota wa muziki wa Singeli nchini Dulla Makabila ameweka wazi leo kuwa moja ya maamuzi anayoyajutia kwenye mahusiano yake na aliyekuwa mke wake Zaiylissa ni kutoa talaka.
Pia, Soma: Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto...
Hii hadithi ni very filthy.
Nimeiona YouTube sasa hivi.
Apparently imetokea last week.
Huyu mdada anasimulia,wamekutana na huyu jamaa tik tok,baada ya urafiki wa miezii minne wamefunga ndoa .
Sasa mara akaanza kunotice majirani wananong'ona kuhusu ndoa yao.
Halafu siku moja kaja jamaa...
Nimejaribu kutafakari hili jambo ila nimeona nikilileta humu naweza kupata michango ya ziada yenye afya,
Kwa maoni yangu nimeona ipo hivi, ningependa nisahishwe nilipokosea, kuongezewa nilipopunguza, n.k.
Kuoa mke moja vs ruhusa ya kuongeza -
kwetu wakristo unakuta mwanamke ukimuoa kiburi...
Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka.
Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:-
1)Ndoa kwa ujumla
2)Talaka
NDOA KWA UJUMLA
-Hapa napenda kuzungumzia...
Miezi ya karibuni maeneo mengi yatakutwa na hali ya baridi au mvua, na kwa sasa kuna baadhi ya maeneo mvua inanyesha. Na kawaida hali ya mvua au baridi huwa ni baraka kwa wapendanao; kwa wale ambao tunakuwa hatuna wapenzi, huwa tunaishia kula mahindi ya kuchoma, kunywa kahawa, chai ya tangawizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.