Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa msimamo huo bungeni Dodoma jana kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa hapo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Janet Mahawanga (CCM).
Mbunge huyo alitaka kufahamu ni lini serikali itaboresha sheria za uhamiaji ili kuweka urahisi kwa wawekezaji wa...