kutoka kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Street Hustler

    Dah! Yaan Tanzania imekuwa ya kutumia nyanya kutoka kenya kweli?

    Aisee ilizoeleka kuwa wakenya huja Tanzania kununua mazao na kuyapeleka kwao Kenya ila Hali sio hvyo kwasasa. Wakulima wa Kenya wamejipanga na kuwezeshwa Sasa wameanza kuzalisha zaidi ya uwezo wao mazao kama nyanya, vitunguu na maharage kidogo kwenye mahindi wanashirikiana na wakulima wa...
  2. Kidagaa kimemwozea

    Media za Tanzania zijifunze kutoka Kenya

    Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi...
  3. Pdidy

    KAMISHNA ;ZILE GARI ZA KUTOKA KENYA ..UGANDA CHUNGUZENI PALE WANAPOKANYAGIA...KWENYE KORIDOO HATAREE....

    Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa Fanyaaaa showe wiki nzimaaa Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa N...
  4. Mr Why

    Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  5. Expensive life

    Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

    Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu. Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
  6. Tlaatlaah

    WAFANYA BIASHARA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA KUTOKA KENYA, KUTIMKIA TANZANIA KUKWEPA ATHARI ZA MAANDAMADO YASIYOKOMA KENYA.

    wanajipanga na kukusudia kuhamishia mitaji yao nchi jirani Africa Mashariki zenye amani ikiwa ni pamoja na Tanzania, kukwepa uharibifu wa uwekezaji woa huko kenya ambao baadhi yao kwa kiasi tayari wameathirika, kutokana na kukosekana usalama wa kutosha... Je, hii ni fursa muafaka ya kiuchumi na...
  7. D

    Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

    Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
  8. Influenza

    India yaonesha nia ya kupata Duma kutoka Kenya, siku chache baada ya kuipa mkopo wa Ksh. Bilioni 38

    Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia. Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya Mazingira ya India tayari imewasilisha pendekezo hilo lakini maelezo kuhusu idadi ya duma walioombwa...
  9. Okrap

    Mwanaume kutoka kenya kuja Tanzania

    Huyu mwanaume Paul Mackenzie anawapa wanawake huko Kenya usingizi wa usiku Nasikia najiandaa kuja bongo kuwapa usingizi.
  10. BARD AI

    Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  11. Replica

    Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

    Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa. Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi. Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa...
  12. Kumbusho Dawson Kagine

    Tanzania ina cha kujifunza kutoka Kenya?

    ❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi Gachagua, VP-Kenya
  13. BARD AI

    Marufuku kusafirisha Mahindi kutoka Tanzania bila kibali cha BRELA

    Wafanyabiashara wanaoagiza mahindi kutoka Tanzania watahitajika kujisajili na BRELA, kupata kibali cha biashara na kuwasilisha cheti cha kibali cha kodi kilichotolewa na BRELA kabla ya kusafirishwa nje ya nchi Notisi iliyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Tanzania inawataka wafanyabiashara wa...
  14. L

    Maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yafika China

    Kupitia juhudi za pamoja za nchi mbili, shehena ya kwanza ya maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yalifika China kwa wingi hivi karibuni. Mapema asubuhi ya Agosti 26, tani 45 za maparachichi mabichi ya Kenya yaliwasili katika bandari ya Waigaoqiao mjini Shanghai. Inatarajiwa kuwa wakazi wa...
  15. Tony254

    Baadhi ya majina kutoka Kenya yameongezwa kwenye Oxford English dictionary

    Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "chapo", "githeri", "mpango wa kando", "chang'aa" na kadhalika. Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando Among Kenyan Words Added To Oxford Dictionary By Joseph Muia For Citizen Digital Published on: July 15...
  16. Geza Ulole

    Watoto wagonjwa kutoka Kenya waja kutibiwa JKCI

  17. The Sunk Cost Fallacy

    Rais Samia ni kiboko; Kwa mara ya kwanza Tanzania imeuza zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya

    Kwa mujibu wa Takwimu rasmi kutoka Kenya Bureau of Statistics,Tanzania imeweka historian ya kurekodi mauzo mengi zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya. Hii ni baada ya miezi 9 tuu toka mama SSH awe Rais wa JMT.Hongera Sana na kongole nyingi kwa SSH.
  18. Bowie

    Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

    Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana. Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja. Tungependa kuona...
  19. Street Hustler

    Mwenye Tsh 40m aje aongeze mtaji tuimport Bidhaa kutoka Kenya

    Wanasema mafanikio ya mwanadamu yapo kwenye taarifa au connection Sasa wana Jf Mwenye utayari wa kuzungusha pesa yake ndani ya muda mfupi aweze kurudisha pesa yake na kuamua kuendelea au lah namuhitaji. Ninahusika nakuingiza Bidhaa flani kutoka Kenya kuja Tanzania soko la hzo Bidhaa lipo na...
  20. luangalila

    Leo hii Nov 12, 2021 Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha mpango wa kuajili Manesi kutoka Kenya

    Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha mpango huo na kisha kuhoji uhaba wa nurses ktk vituo vya afya vya kenya, ikisema Kenya inahitaji...
Back
Top Bottom