kutokana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji. Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao...
  2. Kingsmann

    Huenda taifa la Japan likapotea ("Extinction") kutokana na watu kuacha kuzaliana

    Watafiti wanasema huenda Japan likawa taifa la kwanza kupotea duniani kutokana na watu wake kuacha kabisa kuzaliana. Swali la msingi: Ni kwa nini taifa au watu wanavyozidi kuwa matajiri ndivyo wanaogopa kuwa na watoto wengi au kuwa na watoto kabisa?
  3. W

    Tuzo za Trace Music Awards zilikatishwa kutokana na maji kujaa karibu na Jukwaa

    Ninachojiuliza ni kwamba hawakujua au hawakufanya Survey ya eneo kabla ya kuweka Jukwaa ————————————— Tuzo za Trace kwa wasanii wa Afrika zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Visiwani Zanzibar, Tanzania, zilikatishwa kutokana na maji kujaa karibu na jukwaa. Tuzo hizo zilizoonekana kuchelewa...
  4. The Watchman

    DED Sumbawanga amtimua fundi kutokana na ubabaishaji usiozingatia viwango vya ujenzi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Bi. Pendo Mangali katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo aliyoifanya Februari 22/2025, ameagiza kuondolewa kazini kwa fundi Yusuph Benias Mgogo na kutafutwa fundi mwingine kutokana na fundi huyo kuwa mbabaishaji na kushindwa kutekeleza majukumu...
  5. Ojuolegbha

    Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi

    Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi. Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la halmashauri ya Bumbuli ambalo limerahisisha huduma kwani lipo katikati ya halmashauri hiyo lakini linatoa...
  6. Vien

    Kutokana na maendeleo ya Technology ni muda muafaka wa makanisa kuendana na wakati

    Habari za muda huu wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri sana, lakini naona kuna haja ya kuendana na mabadilko ya technology ilikua kuokoa muda Mfano 1)...
  7. Stephano Mgendanyi

    TANROADS Yapokea Tuzo ya Kimataifa Kutokana na Mchango Wake wa Kuboresha Usalama wa Barabara (Safer Road)

    TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
  8. S

    Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  9. GENTAMYCINE

    Kally Ongala tunaokujua tulijua tu kuwa Leo iwe isiwe utawapa Zawadi kutokana na Unazi wako Kwao na Unafiki wako uliopitiliza

    Sasa kwanini usiombe tu Kazi huko Kwao ili tujue moja? Mechi yetu nawe najua utatukazia mno na hata Kushirikiana nao Kuroga / Kuturoga.
  10. upupu255

    SI KWELI Jambo TV wamechapisha taarifa ikisema 'Maria Sarungi aitelekeza CHADEMA na hayuko tayari kuichangia kutokana na mgawanyiko

    Wakuu nimekutana na hii taarifa mtandaoni kwenye magroup ya facebook. Je, ni ya kweli? === 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗔 𝗦𝗔𝗥𝗨𝗡𝗚𝗜 𝗔𝗧𝗢𝗔 𝗧𝗔𝗠𝗞𝗢 𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 Mwanaharakati Maria Sarungi ameweka wazi msimamo wake kuhusu CHADEMA, akieleza kuwa kwa hivi sasa hayupo tayari kukichangia chama hicho. Ameeleza kuwa sababu kuu...
  11. Ritz

    Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

    Wanaukumbi. Breaking | Al-Qassam Brigades spokesperson Abu Obaida announces that due to Israel's failure to uphold the terms of the ceasefire agreement, the release of Israeli captives scheduled for this Saturday will be postponed until further notice. ========================= ⚡️BREAKING...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Salim Hasham Atoa Msaada Kutokana na Mvua Iliyoambatana na Upepo Iliyobomoa Nyumba Zaidi ya 100 Ulanga

    Wananchi zaidi ya 1000 wanaoishi katika kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro wamebaki bila makazi baada ya Mvua iliyoambatana na upepo mkali kubomoa Nyumba zaidi ya 100. Wakizungumza na Waandishi wa habari waathirika wa tukio hilo wameiomba Serikali kupitia ofisi ya...
  13. S

    Kutokana na sera na misimamo yake, Donald Trump anaweza kuuawa wakati wowote

    Trump amekuja na misimamo na sera zinazogusa na kuathiri watu wengi ndani ya Marekani na nje ya marekani. Trump anagusa imani za watu, tamaduni za watu na sasa anakwenda mbali kutaka kushirkiana na Waisraeli kuwaondoa wapelestina huko Gaza maamuzi ambayo pia yataamsha hisia za kidini na hata...
  14. Paspii0

    Hii Ndiyo Hadithi ya Mjasiriamali Anayejivunia mafanikio makubwa Kutokana na Biashara ya Kuku

    Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa. 😂😂👆🏾 sijui huwa mnatuonaje,ningekuwa na mamlaka nngechunguza biashara zenu
  15. Zirconium

    Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  16. Roving Journalist

    Polisi - Morogoro wathibitisha watu wawili wamepoteza maisha kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linathibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kwa athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Vifo hivyo vimetokea katika nyakati na maeneo tofauti. Tukio mojawapo limetokea usiku wa kuamkia Januari 30, 2025 katika mtaa wa...
  17. milele amina

    Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  18. Faana

    Mchungaji: Hali ya joto inayoendelea nchini kwetu ni kutokana no moto aliowasa Mungu Los Angles US

    Hilo ndilo amesema kiongozi wetu leo kwenye Jumuiya akituonya kuacha dhambi kwasababu nyakati hizi zinafanana na zile za Sodoma na Gomora
  19. Financial Analyst

    Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

    IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL.... Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM. Kufika kule wale walimu walishangaa ni namna gani napaswa kuwa darasa la sita, wakati hakuna...
  20. Dalton elijah

    Vifo kutokana Mpox Vyafikia 10 Nchini Uganda

    Idadi ya vifo vilivyothibitishwa na maabara vya ugonjwa wa mpox nchini Uganda imepanda hadi 10 baada ya vifo vinne kusajiliwa katika siku tano zilizopita, kulingana na mamlaka. Katika ripoti ya sasisho la hali iliyotolewa siku ya Jumatatu, Wizara ya Afya ya Uganda ilisema angalau maambukizo...
Back
Top Bottom