Kuna mtu mmoja yuko kwenye taasisi fulani nyeti ya serikali. NI MTU mzito sana, Akaniambia Bibi, kazini kwangu kuna fursa ya kupiga, ambayo itakunufaisha na wewe.
Nikamwambia ni fursa gani hiyo? Akanipa mpango mzima. Akasema tuanzishe kampuni, yeye na jamaa zake, Ila kwasababu ya conflict of...
Asilimia kubwa ya watu wengi wanaishi vijijini, Vijiji ambavyo kwa asilimia kubwa bado havijaendelea kiasi cha kuzijua Sheria vizuri sana.
Sheria zipo lakini watu wengi hawazijui na hata adhabu zake pia hawazijui. Watu wengi wanaishi kwa mazoea na wako busy kutafuta kipato na sio kusoma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.