kutokulipa kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yohana Daniel

    Haki ya mpangishaji iko wapi? Naombeni msaada wa kisheria

    Habarini za uzima ndugu zangu Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba Niende moja kwa moja kwenye mada nilikua na mpangaji ambae alilipa pesa ya kodi yake vizuri wakati anaingia shida ni pale tu ilipoisha hakuweza Kulipa tena nikampa notice ya kuhama free bila kunilipa chochote ila huu ni...
Back
Top Bottom