kutokwa na maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamke wa mithali 31

    Msaada: Natokwa na maziwa kwa miaka sasa, ni kawaida au nitakuwa na tatizo?

    Natokwa na maziwa kwa miaka sasa, tena maziwa mengi. Bahati mbaya nikajishika nyonyo yanaruka. Hata (babe) akinyonya nyonyo ananyonya maziwa maana yanatoka tu! Ni kawaida au ni ugonjwa niende hospitali? Siku zinavyozidi kwenda naona yanazidi kutoka mengi!
Back
Top Bottom