Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya.
Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi.
Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani.
Leo ni...
Chuo cha Usimamizi wa Fedha kimetoa tangazo la vyeti vya wahitimu wa mwaka 2023/2024 kuanza kutolewa, ndugu wahitimu wote twendeni tukachukue vyeti vyetu mapema sana.
Hawa manyang'au wa U.S naona wameshamtumia Zelensky kama pampas sasa wanataka kumtupa.
Visingizio vimeanza za kuwinda kuondoshwa
Huyu Musk mtandao wake huu amekuwa akiutumia kuchochea tawala kadhaa kuondoshwa
Kazi kaianzisha Trump chawa Musk anaunga tela...
- Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza.
- Ugonjwa huu uliogopesha sana kiasi ambacho jamii haikuwa tayari kuuzungumzia. kimya kikuu kilitanda bila shaka kila mmoja akiomba kwa mola wake...
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko yashuhudia ongezeko kubwa la hamasa kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), ambapo elimu ya sheria inaendelea kutolewa kwa wananchi kwa kasi kubwa. Wananchi wamehamasishwa kuhusu masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, haki za kijinsia, ajira, na mbinu za...
Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba
Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa.
Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
Kama umewahi kufanya biashara utakubaliana nami kuwa biashara inachanganya sana tarehe za mwisho wa mwezi.
Baada ya hapo zinadumaa kwa mwezi mzima. Biashara zote, kuanzia za umachinga, za bucha hadi za vifaa vya ujenzi huchanganya mwisho wa mwezi kisha zinadumaa kwa karibu mwezi mzima.
Hii...
Hukumu ya kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), Dkt. Yahya Nawanda inatarajiwa kusomwa leo Ijumaa Novemba 29, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza.
Kesi hiyo ya kulawiti namba 1883/2024, inasikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Erick...
Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.
Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako.
......usijimalize sana dadangu.
MIKOPO YA ASILIMIA 10 KUANZA KUTOLEWA KABLA NOVEMBA 30, 2024.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt Festo Dugange amesema mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 itikanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwaajili ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye...
Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua
Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya mimba imekamilika au alishakuwa na ujauzito tangu mwez wa 1 mim nimebebeshwa tu aliponiona nina...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra.
Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa...
Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.
Vipengele...
Na MWANDISHI WETU
WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani.
Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai.
Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
Kwa nilivyoiona hii klabu ya simba Mimi kama mchambuzi wa maswala ya soka Sina ushabiki wowote wa timu za Tanzania ni kwamba hii timu hamna kitu ilichokifanya kule Libya na jumapili inaenda kudharirsha taifa naomba nieleweke simba hamna kitu mule timu ni mbovu sijawahi kuona na huyo kocha sijui...
Serikali ya Kenya imeruhusu Maduka ya Dawa za Binadamu kuanza kutoa huduma ya kwanza ya Dawa ya Kuzuia Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (PrEP) baada ua tafiti kuonesha zitasaidia Watu kuzipata kwa haraka na kuzitumia.
Imeelezwa kuwa Majaribio yaliyofanywa chini ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.