kutolipa mshahara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini Hospitali ya Maweni-Kigoma hailipi pela za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Wakuu, Hawa waajiriwa wapya wa maweni wote hawajalipwa hela za kujikimu. Na ukiangalia intake yako hospitali zingine zote wamelipwa. Ndo kusema ukiwa Kigoma kila kitu kigumu hadi stahiki muhimu kama hii. AFU MLALAMIKE STAFF HAWAKAI KWELI.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…