Mimi ni Askari wa ulinzi kutoka Kampuni ya Asgard Security Company Limited yenye ofisi zake makao makuu Kinyerezi DSM, malalamiko yangu ni kuwa hatujalipwa mishahara yetu wa miezi miwili na ninawawakilisha Wafanyakazi wenzangu kadhaa wa malindo ya nje.
Kwamba suala la kulipwa limekuwa...