Wanawake hasa wadada, mnapotongozwa na Wanaume na kujibu; Nipo kwenye mahusiano huku ikiwa si kweli, haupo kwenye mahusiano yoyote; Upo unasikilizia kwa Mwanaume atakayekuja, ila jibu la nipo kwenye mahusiano, uwa kama njia rahisi kwenu ya kumkataa Mwanamume yule usiyempenda kwa sababu na vigezo...