Waziri wa Mambo ya Ndani, Shabani Lukoo amesema, Watu 129 wameuawa wakati wakijaribu kutoroka katika Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa na wengine 59 wakijeruhiwa.
Waziri Lukoo ametaja madhara mengine yaliyotokea katika tukio hilo ni pamoja na baadhi ya Majengo ya Utawala kuchomwa moto...