Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na kujitwalia utajiri mkubwa na pesa nyingi ambazo hazilipiwi Kodi. Ni vyema tubadilike tuanze kufanya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema malalamiko mengi ya kikodi utokea kutokana na kutojengwa kwa utamaduni ya watu kuanza kulipa kodi wakiwa katika ngazi za chini.
Akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni ya Elimu kwa Umma na Upokeaji wa Malalamiko ya Kodi, inayoratibiwa na...
Bodi ya Rufaa ya Mapato ya Kodi (Bodi), imefanya uamuzi muhimu kuhusu kutoza kodi kwenye mapato yaliyoshikiliwa kwa kampuni za ndani. Katika kesi ya rufaa kati ya Gateway Gaming Tanzania na Kamishna Mkuu (TRA), Bodi imetangaza kuwa kodi ya kushikilia na riba inapaswa kulipwa kwa mapato...
TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi.
=====
DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi.
Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa Mitandao amesema kutoza kodi mapema kwenye biashara za mitandaoni kutauwa AJIRA za Vijana wengi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.