Wakuu,
Kijana anayetrend Arusha baada ya kuulizwa kuhusu Depression huyu hapa.
Sijaelewa kwanini hii clip imeteka mitandao ya kijamii kwa sasa, au watanzania wengi wana depression
"Ushapata depression, msongo wa mawazo kuhusiana na mapenzi au mtu uliyempenda akaondoka? Ushapata depression...