Salamu kwenu. Huyu mdada amepambana anavyojua akapata barua ya uhamisho kutoka wilaya X kwenda mkoa na wilaya nyingine mwezi uliopita.Alipotoka amefungashiwa kila kitu na wilaya aliyohamia washampa barua ya kituo chakazi. Tatizo anaogopa kuhamisha mizigo yake akihofia kurudishwa...
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo. Poleni...
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.
Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga...
Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida.
Kwa nini?
Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba
Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka...
Shalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa...
Habari zenu Wakuu,
Ukiona mtu ametulia kwenye mahusiano na hana michepuko wala kutoka nje basi tambua kuwa amefanya maamuzi na sio upendo.
Kama ulikuwa hujui ni kwamba, unaweza kupenda na bado ukapenda kuwa na wengine zaidi (TAMAA).
Ukiona mtu ametulia basi tambua kuwa amefanya maamuzi na...
Ubishi, ukaidi na ujeuri wa Wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta amani mashariki ya kati ni wapalestina kuwa watulivu ili waendelee kukaa pale kwa amani au kuhama...
Ukiwa Kiongozi wa Nchi pamoja na mambo mengine ni kuwa mtulivu , kuwa na muda mrefu wa kutafakari kwa fikra tunduivu uelekeo wa Taifa.
Kwa kufanya hivyo unatoa uongozi na majawabu pale vyombo na taasisi zilizopo kisheria zinapokushauri.
Meditation inahitaji muda na utulivu . Nachoshangaa ni...
Imagine huna hela huna lolote la maana ila kuna mwanamke kaamua uwe mume wake na kakuzalia watoto na hakuchit kamwe katulia kwenye ndoa na akitongozwa anawasemelezea kwako waliomtongoza.
Mwanamke kama huyu muheshimu sana akimlilia mungu wake KWA maboko unayomfanyia mungu atamjibu. Imagine una...
Kiongozi hupimwa kwa uwepo wa kuvumilia mishale kipindi cha shida na kipindi cha hoja za kitaifa. Rais ameona upepo wa kisiasa, ametambua uwepo wa tafsiri mbaya dhidi ya nia yake ya kutafuta wawekezaji wa bandari.
Ili kujipa muda maalum wakitafakari naamini ameamua kukaa sehemu ambayo atafanya...
Wasalaam JF,
Kimya chenye mshindo hubeba dhana ya uzito wa tatizo, na kiwango Cha dhoruba kinampata.
Kuna sehemu mpaka Leo pameandikwa. "Usikonjoe hapwa" na bado watu wanakonjoa pale.
Ni hayo tu
Tulia na utatulizwa
Ndio mimi Wadiz
Zitto amechanganyikiwa? Aliyoyaongea kwenye msiba wa mpendwa wetu mh Membe, yanasidifu hiki ninachosema!
Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho, wakazikwe pembeni yake
Sasa leo tunamkumbusha tuu
Haya ni marudio tu ya kile Zitto alisema pale ambapo...
Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu.
Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
Wasalamu wanajamvi
Kadada kamoja ka mtaani kwetu,sikukashobokea tangu kamekuwa hapa mtaani. Kameolewa ndoa ya kanisani mkoa jirani miezi minne iliyopita,mume anafedha na anakapenda sana.
Sasa mwezi uliopita kakanitafuta kanaomba ushauri wa shida fulan inayohusiana na ujuzi wangu nikakaelekeza...
Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa...
|MASWALI KUMI KWA POLEPOLE
Na. Emmanuel Allute Jr,
1. Kwanza nakupa tano kwakuwa umekiri Corona ipo na inaua,Kwataarifa tu duniani,zaidi ya watu 217M wamepatwa na Corona na kati yao watu 4.51M wamekufa,wamo wachungaji,Mapadre,Masista,Ma-alhaji,Wainjilisti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.