Bwana Yesu apewe sifa.
Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.
Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.