Hello my people,kama tujuavyo kila mwanadamu ana hasira by nature hasa pale anapokwazwa na mtu au jambo fulani ambalo halimpendezi.
Binafsi nikiwa na hasira huwa naenda kulala nasinzia nikija kuamka walau zimepungua, au kama mtu akijua amenikera basi asiendelee kuongea.
Je wewe una-handle vipi...
Kambi ya jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU kilichoko mtaa wa uwanja wa ndege kata ya kamunyonge manispaa ya Musoma kinaendesha zoezi la ulipuaji mabomu na silaha za kivita ovyo bila utaratibu wakati wa mazoezi yao bila kutoa tahadhari kwa wananchi jambo ambalo limekuwa kero na kuzua...
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel).
Maafisa wa polisi wakiwa na vifaa vya kutuliza ghasia (virungu, tasers, bakora) wanaendelea kusafisha kambi zilizowekwa...
Manjano na asali imekuwa tiba iliyokuwa ikinisaidia sana katika makuzi yangu endapo nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi.
Unachanganya manjano kwenye asali, pia siku zingine unakamulia maji maji ya Tangawizi bila kuweka na machicha yake kwa sababu inaweza kusabibisha karahaa kwenye koo.
Mara...
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya...
Kwa miaka ya hivi karibuni kuna Ripoti nyingi zimewasilishwa za uchunguzi kuhusu matukio mbalimbali iwe ya vurugu, mauaji au tuhuma mbalimbali lakini changamoto kubwa ni kukosekana mwendelezo wa ripoti hizo ambazo huwa zinaundiwa Tume.
Ninavyoona kuna matukio mengi ambayo yamezimwa kisiasa au...
Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama bublish,dawa kama Paracetamol,Panadol,Diclopar,Dawa tatu nk,ukienda maduka ya kawaida unazikuta mtu...
Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alisisitiza umuhimu wa kutekeleza sera za kutuliza uchumi na kuunga mkono masoko, ajira na maisha ya watu.
Bw. Li Keqiang aliyasema hayo kwenye mkutano wa baraza la serikali la China, na kuhimiza juhudi za kuhakikisha uchumi wa taifa unaendeshwa kwa...
Leo tena kama kawaida tunakuletea moja kwa moja yanayojiri kwenye Mahakama kuu , divisheni ya Uhujumu Uchumi , ambako kesi ya ugaidi unaogharimu kitita cha tsh laki 6 inaendelea.
---
Jaji ameshaingia
Kesi inatajwa
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021, Jamuhuri dhidi ya Halfan Bwire, Adam Hassana...
Mimi ni mmoja wa watu ambao huamini kwamba, mtu akichafuka mguuni sio kwamba amechafuka mwili mzima.
Hivyo basi, uungwana ni kuzodoa uchafu wa mguuni lakini wakati huo huo kusifia utanashati pale pote pazuri tofauti na mguu ambao umechafuka.
Hii inaitwa kuwa 'positive' katika kuyatizama maisha...
Hakika ni shangwe iliyojaafuraha kwa upande wa Palestina huko Gaza, Kinachosherekewa hapa ni "Thanks to God, some of us are still alive"
Wananchi wa Gaza waliishi kwa hofu sana maana kifo kilikuwa nje nje pale maisha yao yalipofanywa kuwa ngao, Hamas waligeuza mitaa na nyumba zenye raia wema...
Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani.
Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.